Nani wa kushitakiwa?!

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,102
Reaction score
907
Leo nimesikia habari kuna mzazi amegoma kumpeleka mtoto wake shule kisa mtoto amemaliza darasa la saba hajui kusoma wala kuandika!according to mzazi huyo mtoto amerudia darasa la saba mara tatu!cha ajabu matokeo yametoka amefaulu na anatakiwa kujiunga na hizi shule zetu za fast jet!mzazi kagoma kumpeleka kwa madai kwamba hawez kupoteza hela ilhali mtoto hajui kusoma wala kuandika secondary akafanye nini?serikali inatishia kumshtaki!sasa hapo nani amshtaki mwenzie?je ni mzazi aishitaki serikali kwa kudanganya kwamba wamedanganya kwamba mtoto kafaulu while mtoto ni mbumbumbu?au serikali imshtaki mzazi kwa kukataa kumpeleka mtoto mbumbumbu secondary?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ikithibitika kwamba mtoto hajui kusoma na kuandika, hilo litakuwa kosa la wale waliomidhinisha kwamba amefaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…