D Danisamweswa JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 453 Reaction score 154 Mar 25, 2014 #1 Katiba ya nchi ikivunjwa ni nani anapaswa kushtakiwa? Je utaratibu wa kufungua mashataka hayo ukoje? Naombeni msaada katika hayo maswali mawili.
Katiba ya nchi ikivunjwa ni nani anapaswa kushtakiwa? Je utaratibu wa kufungua mashataka hayo ukoje? Naombeni msaada katika hayo maswali mawili.
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,678 Mar 28, 2014 #2 Umeshawahi soma case ya Mtikila?