mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Siyo hoja. Hapa tunaangalia sheria inasemaje kwa tukio la kuzidi wachezaji. Udaky wako anzishia thread!
!
Nani Huruhusu Mchezaji Kutoka Na Nani Huruhusu Mchezaji Kuingia? Nani ni Mtunza Kumbukumbu..... Chirwa Kacheza Rafu ya Red Card Kaachiwa Tu Kirahisi
Hiyo sio mbinu.. kama ni ukweli huo ni ujinga kwanzia kwa kamisaa.. refa wa kati... benchi la mbeya city na refa wa pembeni ambae yeye ndio ananyanyua kibendera kuashiria sub. wote wawajibishwe.Wengine wanasema mchezaji aliyetolewa kwa kadi nyekundu alirudi kinyemela uwanjani.
Wakupongezwa na Mbea City kwa kuweza kufanikisha hii mbinu ya ushindi.
Mwisho wapata matokeo waliyoyatarajia.
Peleka thread ya malalamiko ya hiyo rafu. Hapa ni huo ujanja wa Mby City na uzembe wa marefa na kamisaa!
!
Nani Huruhusu Mchezaji Kutoka Na Nani Huruhusu Mchezaji Kuingia? Nani ni Mtunza Kumbukumbu..... Chirwa Kacheza Rafu ya Red Card Kaachiwa Tu Kirahisi
WABONGO BHANA!!.Yanga mlipopigwa kitu mlipotea humu,nsajigwa kawazuga mmerudi tena nyeeee nyeeee nyeeee
Nsajigwa mwenyewe anasema hana hakika labda ni tempa ya mpira. Nyie yanga vipi hamuoni fahari kufungwa na Ronaldo?
Kwa nini sio refa??Bench la ufundi la mbeya city, ila matokeo ya uwanjani yabakie kama yalivyo!
Yanga wamezoea wenzao wawage pungufu, hapa wanalalamika kwa nini walikuwa 11 uwanjani?? Wanataka wao Mbeya city wawe 10 alafu wao 11.Mbona sioni hapo kama wako zaidi
Kwa hiyo leo yanga mnalilia wenzenu wawe 10 nyie muwe 11??Iko wazi mkuu, wako 10 na kipa wa 11 fuata vizuri movement ya video hasa mwishoni
Kwa hiyo leo yanga mnalilia wenzenu wawe 10 nyie muwe 11??
Hapa inaonekana wachezaji wa Mbeya City wakiwa 11 uwanjani ingawa mmoja wao alipewa kadi nyekundu.
Kwani Yanga walikuwa wangapi?? Ebu tuwekee nayo.