Nani wa kuwasemea TAKUKURU?

Nani wa kuwasemea TAKUKURU?

Mzinguzi2

New Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
2
Reaction score
0
TAKUKURU wana majukumu makubwa ya kusimamia mamlaka nyingine kuona haki ikitendeka.

Wamekuwa mstari wa mbele kusimamia haki za wengine ilihali wao hawana chombo cha kusimamia maslahi yao.

Serikali imetangaza kupandisha madaraja kwa watumishi wa umma, kila idara watumishi wamepandishwa madaraja isipokuwa watumishi wa kawaida wa TAKUKURU.

Watumishi wametofautiana ajira kwa miaka 7 wapo daraja moja, Nani wakuwasemea hawa watu?

Wamelalamika utawala Hamduni na Mwakalyele wanatoa vitisho vya kuwafukuza kazi, wanawaita watumishi activist.

Watu hawa ambao madaraja yao yamekwama wanategemewa ku-push madaraja ya wengine huko kwa Ma-DED.

Viongozi wanatengeneza cancer ambayo madhara yake ni makubwa,

Mimi ni kati ya mnufaika wa kazi za TAKUKURU miaka ya nyuma, jamaa walikuwa wanafanya kazi kwa furaha na kujituma sana

Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU ubabe haujengi bali utabomoa taasisi hii.
 
Mbona rahisi, kwenye kuzuia Milungula kuleni mulemule kuleni na wala milungula muache unoko mjenge nyumba kama jamaa zenu wa uhamiaji.
 
Kazi za roho mbaya hazina maslahi mnufaika mwambie jamaa yako apambane tu Mungu atamlipa akhera
 
TAKUKURU wana majukumu makubwa ya kusimamia mamlaka nyingine kuona haki ikitendeka.

Wamekuwa mstari wa mbele kusimamia haki za wengine ilihali wao hawana chombo cha kusimamia maslahi yao.

Serikali imetangaza kupandisha madaraja kwa watumishi wa umma, kila idara watumishi wamepandishwa madaraja isipokuwa watumishi wa kawaida wa TAKUKURU.

Watumishi wametofautiana ajira kwa miaka 7 wapo daraja moja, Nani wakuwasemea hawa watu?

Wamelalamika utawala Hamduni na Mwakalyele wanatoa vitisho vya kuwafukuza kazi, wanawaita watumishi activist.

Watu hawa ambao madaraja yao yamekwama wanategemewa ku-push madaraja ya wengine huko kwa Ma-DED.

Viongozi wanatengeneza cancer ambayo madhara yake ni makubwa,

Mimi ni kati ya mnufaika wa kazi za TAKUKURU miaka ya nyuma, jamaa walikuwa wanafanya kazi kwa furaha na kujituma sana

Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU ubabe haujengi bali utabomoa taasisi hii.
Mbona kwenye kula mlungula mnakula tu,hapo ni kula mpka kujigaragaza yani unajipandishia daraja mwenyewe....mmezubaa mpka sabaya akawa anawapiga mamilioni[emoji16]
 
Back
Top Bottom