Nani wa kuzipiga vita hizi imani potofu za kishirikina?

Nimeukataa ukweli upi? Kwamba uchawi haupo?
Ndio maana yake. Kwa sababu uchawi upo na ndio unao sababisha watu waue albino ila wewe unasema haupo halafu hapo hapo unataka mauaji ya albino yakomeshwe.

Ni bora kukubali kwanza kwamba uchawi upo halafu kuanzia hapo sasa ndio tutafute namna ya kufanya ili kupambana na hawa wauaji wa albino.
 
Hakuna. Kilichopo ni imani potofu tu.
 
Hakuna wa kupinga na kuziondolea mbali maana hao wenye dhamana ya kufanya hivyo wenyewe wanaotegemea ushirikina kubaki kwenye nyadhifa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…