Wa Mjengoni
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 480
- 128
Kutokana na maelezo ya Mh. Sitta kura za siri au wazi zitatumika na BMK ktk maamuzi kutegemea na uzito wa jambo lenyewe. Kura za siri zinaweza mchagua MTU au kutolea maamuzi ISSUE.Kura za siri zinapofanyika kwa watu mgombea humchagua mpambe wake kama wakala kwenda kuhakiki mahesabu ya kura zake.Sasa inapotokea kura ya siri inatakiwa kutolea maamuzi ya issue mfano serikali 2 au 3 kule kwenye chumba cha kuhesabia nani atakuwa mwangalizi wa kura za serikali 2 na yule wa 3 au zitahesabiwa hadharani? Je Bunge halioni umuhimu wa kuweka hili kwenye kanuni zake ili kusiwe na mabishano ya hofu ya uchakachuaji chumbani?