Nani wakala wa Trekta za Massey Fergason Tanzania?

Nani wakala wa Trekta za Massey Fergason Tanzania?

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,714
Reaction score
2,376
Salaam wakuu,
Nahitaji matrekta ya MF mapya au used. Tafadhali anayewafahamu mawakala anijulishe wakuu.
 
Jaribu kutembelea ofisi za suma jkt,nadhani wanaweza wakawa wa msaada.
 
MIMI NAWAFAHAMU WANAO UZA USED MASSEY ZA TOKA ULAYA ....NOT PAKISTAN...

OVA
 
Salaam wakuu,
Nahitaji matrekta ya MF mapya au used. Tafadhali anayewafahamu mawakala anijulishe wakuu.
kuna kampuni inaitwa TRACTORS LTD ipo morogoro na wana branch tanga. ni mzungu fulani yuko fiti kweli
 
ukihitaji sema aina ya trekta unalotaka tunawasiliana nakuletea toka SA bei yametofautiana mwezi ujao yatakuepo pia Mersey, Ford na john deer unalipa baada ya Trekta kufika Tanzania.,.
 
Back
Top Bottom