Salaam wakuu,
Nahitaji matrekta ya MF mapya au used. Tafadhali anayewafahamu mawakala anijulishe wakuu.
kuna kampuni inaitwa TRACTORS LTD ipo morogoro na wana branch tanga. ni mzungu fulani yuko fiti kweliSalaam wakuu,
Nahitaji matrekta ya MF mapya au used. Tafadhali anayewafahamu mawakala anijulishe wakuu.