Nani wakumtongoza mwenzake mwanaume au mwanamke.

Mtu kasema kazoe kutongozwa, afu wauliza ni ke au ni me mi naona tukuullize wewe ru ke or me

Kwa akili yako mwanaume hatongozwi??..afu angalia username 'morgan james'??
 
.
Yaani huwezi kuingia JF ukatoka bila kucheka!

Kweli "JF is never boring!" ... alisema The Boss
.
 

nakupenda bure
 
Kwa taarifa yenu, zaidi ya asilimia 60 ya mahusiano ya kimapenzi yameanzishwa na wanawake. Wanaume huangalia mwenendo wa msichana kisha kumalizia 'pasi ya goli'. Wanawake wananguvu kubwa katika kuanzisha mahusiano, wanaume hawakurupuki kwa msichana. Kwa maana hiyo, msichana akifunguka dhidi yangu sishangai.
 
hakuna kitu humu dununiani kama kotongozwa na mwanamke zamani nimeshajipitisha sana uwani kwa watu sasa naona kama ni kunipunguzia kazi jumlisha kukataliwa bora anitongoze bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…