Nani wanaruhusiwa kuniandikia reference letters za Masters?

Nani wanaruhusiwa kuniandikia reference letters za Masters?

melech

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Amani ikae kwenu!

Naomba nisaidieni kufahamu, na-apply Masters Degree Uingereza, na kama kawaida inatakiwa reference letter. Hivi nani anaruhusiwa kuandika hiyo reference letter? What are the options?

Asanteni.
 
hata babu yako wa kule Sumbawanga anaweza kukuandika Reference letter kwani tatizo lipo wapi? halafu sijaona umuhimu wa kutaja ati una apply Masters UINGEREZA so what? actually neno UINGEREZA halikuwa na sababu kuwepo hapo haijalishi uaenda kusoma ZANZIBAR, SOMALIA ama ROMA hoja ilikuwa REFERENCE LETTER full stop.

Au wewe unatokea Bukoba (Kashozi) nini? sifa mpaka chooni nyambafu sana!!! siwapendi kama kuchamba nnya.
 
hata babu yako wa kule Sumbawanga anaweza kukuandika Reference letter kwani tatizo lipo wapi? halafu sijaona umuhimu wa kutaja ati una apply Masters UINGEREZA so what? actually neno UINGEREZA halikuwa na sababu kuwepo hapo haijalishi uaenda kusoma ZANZIBAR, SOMALIA ama ROMA hoja ilikuwa REFERENCE LETTER full stop. Au wewe unatokea Bukoba (Kashozi) nini? sifa mpaka chooni nyambafu sana!!! siwapendi kama kuchamba nnya.
Mbona inaonesha kama una wivu vile kisa jamaa amesema amepata chuo kule Uingereza. Na inaonekana si mtu mwenye busara,kwasababu ilikuwa haina haja ya kuandika hayo yote uliyoandika kilichotakiwa ni kumjibu tu. Na suala la yeye kutokea Bukoba au kuwa na Babu kule sumbawanga linakuhusu nini wewe au linatuhusu nini sisi wengine?.

Acha wivu!! na tena inaudhi kumtukana yeye 'nyambafu'
 
hata babu yako wa kule Sumbawanga anaweza kukuandika Reference letter kwani tatizo lipo wapi? halafu sijaona umuhimu wa kutaja ati una apply Masters UINGEREZA so what? actually neno UINGEREZA halikuwa na sababu kuwepo hapo haijalishi uaenda kusoma ZANZIBAR, SOMALIA ama ROMA hoja ilikuwa REFERENCE LETTER full stop. Au wewe unatokea Bukoba (Kashozi) nini? sifa mpaka chooni nyambafu sana!!! siwapendi kama kuchamba nnya.

ACHA WIVU KIJANA INAONEKANA UNA ROHO YA KWANINI SANA WEWE..!mimi sioni Tatizo kabisa hapo.
 
mkuu hongera sana kwa nia ya kutaka kujiendeleza kimasomo.ok,uneweza muona Academic supervisor wako au pia Unaweza muona mkuu wa college yako akakuandikia..ni academic history yako tu ya chuo inahitajika kuwa recommended.Goodluck.!
 
hata babu yako wa kule Sumbawanga anaweza kukuandika Reference letter kwani tatizo lipo wapi? halafu sijaona umuhimu wa kutaja ati una apply Masters UINGEREZA so what? actually neno UINGEREZA halikuwa na sababu kuwepo hapo haijalishi uaenda kusoma ZANZIBAR, SOMALIA ama ROMA hoja ilikuwa REFERENCE LETTER full stop. Au wewe unatokea Bukoba (Kashozi) nini? sifa mpaka chooni nyambafu sana!!! siwapendi kama kuchamba nnya.

wewe si umejitamba kule eti umepata Division I.14 wakati ulikua na Division IV.31? nimejua sasa upumbafu wako ni more than IV.31.
 
Loh! Nadhani labda tumsamehe huyu mtanzania mwenzetu aliyenitukana hapo, afahamu tu kuwa mataifa mbalimbali yanaweza kuwa na taratibu tofautitofauti, kwahiyo inakuwa lazima kujieleza vizuri, si ndiyo? (kujisifu kwa kusoma si vibaya pia eeh?)

Asanteni sana wote mlionipa mawazo kwa ustaarabu, you're great people.
 
Back
Top Bottom