donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #21
Kingsman ndo ile ya yule dogo dingi yake alikua agent wa MI6 baadae na yeye wakamrecruit?Fresh ni bonge la movie part 1 yake ilitoka 2014, KINGSMAN: THE SECRET SOCIETY itafte Kama bado haujaiona ili ikifika siku ya part 2 uwee umeifahamu vizuri
hapo Cinema hamna posters zake bado za KINGSMAN mpya inayokuja...?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]nimekuona upo pale chini mwanzo kabisa mie nipo huku juu kwenye kona kama unatoka mlangoni
Nikadhani amekuona unavyochati JF
Si ndo hapo mkuu kumbe mbwembwe tuNikadhani amekuona unavyochati JF
Sent from my iDevice using Tapatalk
Aiseehnimekuona upo pale chini mwanzo kabisa mie nipo huku juu kwenye kona kama unatoka mlangoni
Ebana ukisema msata unanikumbusha rts kihangaiko. Hapo nshapasoma, sijui kwa mbele au kwa nyuma kuna sheli