Hatulali na hatusinzii ng'ooo
mida yao bado...
humu amulali kweli?
Kumbe tuko wote
wewe si ulikua kule kwenye mapenzi muda huu?
Si tulikua wote lakin?
Aaah,mi nasikiliza ngololo..ngololooo
akhuu mie nilikua napita nikasikia harufu yako..
nna alegy na hiyo makitu..
Wapenda nini sasa?
Wapenda nini sasa?
Njoo kanisani kwetu kuna bonge la ibada