Nani yuko macho tupige stori?

Nawaombea kwa MWENYE ENZI MUNGU ndugu zangu watanzania wote ......MWENYE ENZI MUNGU mwenye rehema za ajabu atuhurumie pale tulipo mkosea katika maisha yetu sisi pamoja na vizazi vyetu. ...ninamwomba aanze upya katika maisha yetu. .atujalie afya njema, utajiri, upendo, amani, furaha ,HEKIMA NA UVUMBUZI. Tunaomba ulinzi maradufu nchini kwetu Dar es Salaam TANZANIA Africa na dunia nzima. ....tunapokea baraka zote sisi na vizazi vyetu sasa na hata milele yote. ..
 
daaaahhh nilipamis sana eneo hili team popo on air
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…