Nani yuko macho tupige stori?

kama kuna yeyote yuo
po macho muda huu na hana usingizi kabisa njoo kwenye hii thread tubadilishane mawazo tufahamiane zaidi na zaidi...ni matumaini yangu kuwa sipo peke yangu macho muda huu na nitapata wenzangu wasio na usingizi kama mimi.
 
Nimekumbuka huu Uzi miaka imepita mingi najiuliza hivi wakuu mpo au wengine walishaamua kubadili IDs zao au wengine walishatangulia mbele za haki R.I.P ? Nauliza tu .

Valentina @jawilat farkhina @rugebwe na wengine wengi Sana. Karibu Sana.
 
toka mdau wa huu uzi niende dubai kwa likizo sioni watu kabsa humu
 
Maisha yamekuwa magumu watu wameadimika.

Vocha hazipatikani tena.

"Oya kaka suma wacha upumbavu wako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…