Hapa kuna mambo mengi sana yameingizwa humu, kuna zawadi, kuna watu wana wasupport wafunge na kuna vipaji.
Siku ya leo ndio tutapata jibu sahihi ya kitakachotokea leo, ile nguvu ya uchawi tunayoitumia na tuliwahi kuitumia kuwasaidia ma boss wetu wawe imara na wasiweze kutuachisha kazi hata kama tuna mapungufu mengi na makosa ndio nguvu ile ile tutajua leo kama kweli inaweza ikatufanikishia mpira wetu, kama haviendani na mpira basi tutapata jibu.
Unaweza ukajitokeza hadharani kuninyesha kui sapoti timu yetu kumbe ulisha piga lamli na umehamasisha nguvu za ziada kuhakikisha kuna ushindi. muda utasema