CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kibodi yake haina herufi "r"....
noahism huyo!
Rugha gongana
Duh... jg mbona unajibu swari kwa swari badara ya swari kwa jibu???
Huku njia panda ya kwenda Tabora karibu na ziwa Malawi[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]'Kalia'koo ndo sehem gan mkuu
Njia panda ya kwenda tabora karibu na ziwa Malawi[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kaliakoo ndo wapi mkuu...
Tangu 2013 nakusubiri mpaka leo hujatokea.siku zote unanikimbia