Nani yupo Nyama Choma Leaders Club? Njooni tuyajenge

Nani yupo Nyama Choma Leaders Club? Njooni tuyajenge

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Habari yenu wakuu

Nani yupo nyama choma hapa Leaders club? Njooni tuyajenge. Kwa wale wanaotaka kukutana na mtu mzima mimi huu ndo wakati. Hina haja ya kuja PM. Just nielekeze umekaa wapi nije kukupa Hi. Vimiminika vipo vya kumwaka na makulaji.

Naona kimenuka sasa. Nlijua mvua itanyesha muda wote. Imekata na watu wamechangamka mbaya.

Nambie upo wapi usiku huu na unafanya nini.

Mtu mzima nimetulia nyama choma. Usiniige mimi hukawii kuuza nyumba usipokuwa makini. Mia
15c8b0cc6f238331694ffc584d205653.jpg
146ccad8628f63a59f23584225387095.jpg
 
ab34cef98b8d4699f1960140ada47557.jpg

Napenda kucheck huo mwendo tu by J mo
 
Back
Top Bottom