Manianguru19
Member
- Jul 28, 2022
- 13
- 39
Kuanzisha kampuni sio jambo la kitoto ni kazi inayohitaji investment kubwa na ya kutosha.
Nadhani Diamond Platnumz peke yake hawezi anzisha kampuni ya kubet bila backup. So ninani yupo nyuma ya Wasafi Bet? Nani aliyewekeza kwa kupitia mgongo wa Diamond.