Manianguru19
Member
- Jul 28, 2022
- 13
- 39
Acha umbea, pambana na Hali yakoKuanzisha kampuni sio jambo la kitoto ni kazi inayohitaji investment kubwa na ya kutosha. Nazani diamond peke yake hawezi anzisha kampuni ya kubet bila backup. So ninani yupo nyuma ya wasafi bet? Nani aliyewekeza kwa kupitia mgongo wa diamond.
Odibets ya kenya wasafibet Tz Diamond ni shareholder ila mwenye hisa nyingi ni Odibets na Technology ni ya kwake
ova
Huyo Diamond hana lolote.Bora wewe umejibu straight sio hiyo mipimbi [emoji28]
Mtu kama huyu anakupa stress bila kujijua na wewe unaingia mkenge 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtu kama huyu anakupa stress bila kujijua na wewe unaingia mkenge 🤣🤣🤣🤣
Si kama huyu [emoji116][emoji116]Mtu kama huyu anakupa stress bila kujijua na wewe unaingia mkenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣Si kama huyu [emoji116][emoji116]View attachment 2353509