Nani yupo sahihi,Afande Sele au Mrisho Mpoto?

Afande Sele unachembe chembe za ubaguzi hivi umeendeshulekweli? Mrisho mpoto kunakitu kasahau kukumbusha mm nakukumbusha hebu imba wimbo wataifa jibu utalipata uzalendo sio kitovu chako kufukiwa msanga uzalendo ni imani kutokamoyoni yadhati kumbuka wimbo Wa Bob malee afrika yunait nilzima ukubali mrishompoto nimwalim wako kibusara Tanzania imejengeka namakabila mengine asiliyake sio Tanganyika kwaujumlawake ndio Tanzania inamakabila 20nazaidi Kristian Bella sio mtanzani ila mtanzania hivyo Luna uwezekano ukawa mzawa ila usiwe mzalendo
 

TATIZO MPOTO HAJAJUA KWA NN AFANDE SELE ANAMCHUKIA LABDA NIMSAIDIE MPOTO

1.TATIZO ANA RASTA HALAFU YEYE SIO RASTAFARIAN(YAANI NI KAMA MPAPAI KUOTA UANI KWAKO)
2.HAVUTI BANGI WALA HAWASAIDII RASTAFARIAN KUHALALISHA BANGI KAMA AFANDE SELE ANAVYOTAKA
3.ANA MAGANIKIO MAKUBWA KTK KIPINDI KIFUPI KULIKO AFANDE SELE KAKAA MUDA KWENYE SANAA BILA MAFANIKIO

SO AKIJUA HAYA HATOSUMBUANA NAE
 
Mpoto katumia tafsir sisi katoa mfano che guavara ajui kuwa ulikuja kwa order maalum kuanzia Cuba mpk Congo mbn alikubali kugawana keki ya taifa km pongez alicho kifanya Mpoto automatically kakosea Bella hakustaili huu ni usalit
 

Halafu Afande sele lazima asome alama za nyakati zile enzi za akina BOB MARLEY zimepita
Katika huo mwimbo wa uzalendo ingawa mi nimeona wamechemk tu upuuzi mtupu afande sele huwezi kuitwa sababu hizi hapa:
1.unavuta bangi(mkuu hapendi madawa ya kulevya)
2.we uko chama upinzani nafikir ACT WAZALENDO ingawa hata ACT uzalendo umewashinda wamekimbia wote hadi mwenyekiti...wale walioimba wote wamesema CCM hata kwenye kampeni waliimba

So haya mambo yazingatie na ujiandae kwa hoja ona mpoto kakutoa nishai
 
Huu cio uhuru wa Congo mpk apewe nafas walio teseka enz ya ukoron n babu zetu na baba zetu na cio babu Wala baba wa bella
 
Mpoto amechanganya nyakati na muktadha.Ijapo kuwa kajibu Kwa hoja madhubuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…