Nani zaidi kati ya dr.Sika Vs dr.Magu?

Nani zaidi kati ya dr.Sika Vs dr.Magu?

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
Leo katika nani zaidi ya redio chattle fm tunakuletea mpambano mkali wa kukata na shoka kati ya Dr.Shika na Hasimu wake Dr.Magu,
~Wote ni ma doctor
~Wote wanatokea kanda ya ziwa
~Vitu vingi tu wanafanana

"PIGA KURA SASA"
 
Zaid ni dr magu...huyu bwaaana kaleta mambo ya ajabu na yakushangaza mfano kujenga uwanja wa madege makubwa chato na kupiga wananchi wake risasi
 
Zaid ni dr magu...huyu bwaaana kaleta mambo ya ajabu na yakushangaza mfano kujenga uwanja wa madege makubwa chato na kupiga wananchi wake risasi
Kwa comment hii usithubutu kupanda Nissan.
 
Heading inasomeka dr.Sika,body inasomeka Dr.Shika ,kweli wewe mvaa bikini tu.
 
Back
Top Bottom