babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
- Thread starter
-
- #81
wako equivalent yan edo ana degree shafii ana advancedipolma.
Tatizo la shafii n mwanasiasa wa mpira.JeFUU anajitahd atakuja kuwa bora badae tena zaid ya Shafii.
Ila baba yao n Dr Liki huyu n master
dah,dr liky muacheni jamani.
Dr leakey hamna kitu mulee yeye kukumbudhia matukio ya zamani ndio mnachopenda.
Yule football analys.. bali football historian.
Kwa tz hakuna kama edo
hapo ckuung,dr liky anajua wewe.
Liky anajua nini nyie... yule mzee mbabaishaji hakuna anachojua ktk uchambuzi zaidi kukumbushia matukio ya zamani.
Sio wewe tu, watu wengi humuona.kama nu mchambuzi mahili.
Ukimchunguza vizuri hakuna ambacho huwa anachambua zaidi ya kueleza visa na historia ya zamani kwa timu husika.