Nani zaidi kati ya makipa Marc-Andre Ter Stegen na Jan Oblak?

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Habari zenu Wakuu,

Kwa Sasa walinda milango Marc-Andre Ter Stegen wa Barcelona na Jan Oblak wa Atletico Madrid wanaonekana kufanya vizuri zaidi kuliko wengine.

Je, kwa mtazamo wako unafikiri ni nani mlinda mlango bora zaidi kwa sasa kati yao?

 
Kwa sasa Jan Oblak ni kipa bora wa dunia. Jamaa yupo vizuri sana
 
Oblack ni mzuri sema anafungwa goli nyingi za set pieces.

Ter Stegen ni mzuri ila anafungwa goli nyingi zinazopigwa kimo cha mbuzi.

Over all hawa jamaa ni wakali sana tena sana ni ngumu kusema nani ni zaidi ya mwenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…