Kuna siku kwenye pitaipita zangu nilikutana na huu ubishi,watu walikuwa wakibishana nani mkali kati ya mrisho ngasa na edibily lunyamila basi nami nikaona nilete hii hoja kwa wana JF.Kwa upande wangu me nadhani lunyamila alikuwa juu zaidi ya ngasa wa sasa.:lying: