Nani zaidi kati ya Paul Pogba na N'golo Kante?

Yomakon

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
638
Reaction score
679
246019a90f54e2f77942163fceffa2eb.jpg

Baada ya Manchester United kukubali kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa club ya Chelsea, kuna mengine yameibuka watu wanadai kuwa N'golo Kante ni zaidi ya Paul Pogba.

Je ni kweli?
 
Paul Pogba tokea aje Man U kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?

Na Ngolo Kante tokea aje chelsea kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?

Ukipata jibu hapo juu[emoji115] basi ujue huyo ndo anayemzidi mwenzake
 
Pogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.

SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?
Bila shaka huyu mleta mada atakuwa amekimbia
 
mapovuuu ya nini??

mleta mada plz acha ujinga wa kumfananisha Ngolo kante na vitu vya kijinga bhana!

pogba zaidi

Pogba jembe

Pogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.

SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?

Bila shaka huyu mleta mada atakuwa amekimbia
 
Nyie mnaangalia magoli au uwezo wa mtu katika kuisaidia team? Huyo Pogba kafunga mechi mbili lakini kawagharimu mechi tano na Kante amefunga mechi moja ila kaibeba team katikati kwa mech tano nani bora? Pogba hapaswi kulinganishwa hata na mchezaji wa Aston villa maana ni hasara tupu
 
Tangu msimu umeanza Kante ame perform better than Pogba, huo ndio ukweli.

huwez ukalinganisha ubora wa holding midfielders kwa kuangalia idadi ya magoli.

Pogba ame prove failure huwez kumlinganisha na kante, wekeni ushabiki pembeni ongeeni facts
 
Pogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.

SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?
Magoli sio hoja. Hoja msaada wako kwa timu inapozidiwa
 
Tangu msimu umeanza Kante ame perform better than Pogba, huo ndio ukweli.

huwez ukalinganisha ubora wa holding midfielders kwa kuangalia idadi ya magoli.

Pogba ame prove failure huwez kumlinganisha na kante, wekeni ushabiki pembeni ongeeni facts
Kama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?

Hivi una akili vizuri wewe, au ni tahira?
[emoji115] kupitia hiyo hoja yangu hapo juu, embu jitadhimini uone ujinga wako
 
Back
Top Bottom