Pogba ana magoli matatu 3Pogba jembe
Bila shaka huyu mleta mada atakuwa amekimbiaPogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.
SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?
mapovuuu ya nini??Paul Pogba tokea aje Man U kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?
Na Ngolo Kante tokea aje chelsea kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?
Ukipata jibu hapo juu[emoji115] basi ujue huyo ndo anayemzidi mwenzake
pogba zaidi
Pogba jembe
Pogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.
SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?
Bila shaka huyu mleta mada atakuwa amekimbia
Magoli sio hoja. Hoja msaada wako kwa timu inapozidiwaPogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.
SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?
Kama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?Tangu msimu umeanza Kante ame perform better than Pogba, huo ndio ukweli.
huwez ukalinganisha ubora wa holding midfielders kwa kuangalia idadi ya magoli.
Pogba ame prove failure huwez kumlinganisha na kante, wekeni ushabiki pembeni ongeeni facts
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nineipenda hii boss!!Kwa kuuza jezi bora progba ila kwa kucheza kabumbu Kante juuu juu zaidi
**nimeipenda**[emoji23] [emoji23] [emoji23] nineipenda hii boss!!