Umebora wa mchezaji uko wapiMagoli sio hoja. Hoja msaada wako kwa timu inapozidiwa
Tatizo amejiunga Man U kipindi kibaya, iwapo angeikuta timu nzuri angetishapogba zaidi
Magoli ambayo amefunga pogba je yanaubora kama goli la ngolo kante alilo funga leo ..pili je uwepo wa pogba man u mpaka sasa anamchango gani ukilinganisha na kante..japo kuwa amefunga goli moja ...uwezo wa holding midfilder sio kufunga ni kukaba na kupandisha timu mbele kama anavyofanya KANTE...Paul Pogba tokea aje Man U kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?
Na Ngolo Kante tokea aje chelsea kafunga magoli mangapi na kutoa assist ngapi?
Ukipata jibu hapo juu[emoji115] basi ujue huyo ndo anayemzidi mwenzake
Ubora ni magoli...Kama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?
Hivi una akili vizuri wewe, au ni tahira?
[emoji115] kupitia hiyo hoja yangu hapo juu, embu jitadhimini uone ujinga wako
Kwahiyo kwako bora nani ?
Acha ujinga ww, hivi ligi imeisha?Ubora ni magoli...
Haya mlinganishe Pogba na Kante halafu utoe jibu...
Acha ushabiki maandazi wewe.
kama tungekuwa tunasubiria ligi tusingeoneshwa points kila siku..Acha ujinga ww, hivi ligi imeisha?
[emoji2] wewe, kufunga goli moja bhass imekuwa gumzo...!!kama tungekuwa tunasubiria ligi tusingeoneshwa points kila siku..
One game at a time.
Chunga tu usitukane, huu mchezo hauhitaji hasira!!!
hahah mapovu, kufungwa kubaya wewe.Kama ubora siyo magoli, kwanini unahukumu kabla ligi haijaisha?
Hivi una akili vizuri wewe, au ni tahira?
[emoji115] kupitia hiyo hoja yangu hapo juu, embu jitadhimini uone ujinga wako
[emoji12] ligi bado mbichi, Vungahahah mapovu, kufungwa kubaya wewe.
Walioongelea magoli ni waliosema Pogba ni bora.[emoji2] acha unazi wewe, kufunga goli moja bhass imekuwa gumzo...!!
Ulimbukeni tu
Inategemea na majukumu alionayo uwanjani. Mtu kama Kante jukumu lake uwanjani ni kutibua moves za wapinzani na kuwapa nafasi viungo wabunifu wacheze kwa uhuru zaidi. Mtu kama huyu huwezi kumpima kwa idadi ya magoli aliyofunga. Ni sawasawa na useme De Gea mbovu kwa sababu hajawahi kufunga goli, wakati yeye kazi yake ni kuzuia mipira isitikise nyavu.Pogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.
SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?
Tofautisha pia na nafasi zao uwanjani..wana majukumu tofauti kulingana na mfumoPogba ana magoli matatu 3
Huku Kante akiwa na goli moja tu
Sasa nani hapa mkali
[emoji2] ujue huyu mleta mada anaonekana hajui mpira na analeta thread kimihemko.
SWALI; hivi mchezaji unaweza ukampima kwa goli moja alilofunga?
Sio kipindi kibaya, Man Utd hawana kocha tu, United inawezekana ikawa Ndio timu yenye wachezaji wazuri kuzidi zote EPL ila inawezekana Ndio ikawa timu yenye kocha wa hovyo kuzidi timu zote, nilijitoa Man Utd toka mourinho atangazwe kocha pale, nimehamia Leicester mpaka akiondoka special failure pale old Trafford ntarudiTatizo amejiunga Man U kipindi kibaya, iwapo angeikuta timu nzuri angetisha