Nani zaidi kati ya Wabunge hawa

Nani zaidi kati ya Wabunge hawa

1336.jpg

Honourable Mhonga Said Ruhwanya [CHADEMA]

VS

1312.jpg

Lucy Thomas Mayenga Special Seat [CCM]

Na wanashabihana kwa yapi?
 
tupe sivii zao ili tuwajudge................vinginevyo hatuwajui mkuu..
 
.........Mbona wasichana tupu? Kwa nini hujaweka na wanaume?Je hao ni wabunge wanawake pekee bungeni? Uzaidi wa nini unaotaka wewe hapa?
 
.........Mbona wasichana tupu? Kwa nini hujaweka na wanaume?Je hao ni wabunge wanawake pekee bungeni? Uzaidi wa nini unaotaka wewe hapa?
 
mbona umeweka thread mbili za namna moja mkuu.........???????????
 
Duh kina dada wa humu wamechachamaa Pretty and the likes sina nia mbaya ni mtizamo tu
 
Back
Top Bottom