Nani zaidi kati ya Wema au Zari?

wote ni kioo cha jamii ok. so nani mshindi?

Sasa mshindi wa nini?? Nishakuambia kila mtu ana nafasi yake.....naweza nikaona Wema ni zaidi Na wengine Wakaona Zari ni zaidi so as long as tumetofautiana wew elewa ivyo ivyo........
 
Huwezi kuwafananisha hawa watu bwana!Kwa urembo Zari mrembo sababu ana watoto,miaka thelathini ta ushee lakini bado mnalinganisha na wema mwenye ishirini na kadhaa na hana mtoto,kimafanikio inajulikana nani ana nini.

Mshindi ni Zari mwenye uwezo wa kuzaa
 
Zari is the best, Wema aendelee kulea mbwa tu, ni talent nayo ile wallahi
 
Zari ana natural beauty....hakuna ubishi kwa hilo.
 
Jamani kumfananisha Zari na Wema si sawa ni sawa na kulinganisha USINGIZI na KIFO.Zari ni mzuri sana jamani Wema karolaiti mixer na mafuta ya transfoma yamemuharibu kabisa
 
Haaa haa eti calorite na mafuta ya transfoma.. Jf mna mijineno!
 
Zari mzuri.akifunga mdomo tu akifungua anakuwa ajuza, oh.maaaama, hatarreeeee. Angalia tangazo lake la white party
 
Zari mzuri.akifunga mdomo tu akifungua anakuwa ajuza, oh.maaaama, hatarreeeee. Angalia tangazo lake la white party

Mie niliona kama kuna rangi ya gold sijui silver au camera wamefix mbwembwe ndio hivyo tuikumbuke...najua awezi kuipitisha kama bomu lipo haswa...

Ila bora hatumiii mikorogo.
 
onesheni uzalendo banah.......japo wote ni walewaleeeeeeeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…