Wote ni wazuri ila Wema anajua kuonyesha hisia ya mapenzi. Wema na Diamond ni pair nzuri. Zari akipata motto Diamoind atamuoa Wema Watunze mototo na maisha yaendelee. Kwani wao ndio wana mapenzi ya kweli. Hata statements za hivi karibuni kila mmoja wapo anamkumbuka mwenzake. Na kwa Wema anaweza mtunza mtoto wa Zari bila Hiyana.