Members wapya wengi wana mada za kipuuzi puuzi ambazo kwa kiasi kikubwa mada zao zinashusha hadhi ya JF.Uzi huu ni mpambano kati ya member wa zamani kujiunga humu dhidi ya waliojiunga hivi karibuni.
#Member Wakongwe wanasema hawa wapya hawana ni watupu kichwani,wanaleta mada za kitoto,hawahesimu waliowakuta na mambo kibao. Mbaya zaidi wanawaita eti walamba lips.
#Members Wapya nao wanawabeza wale wakongwe wanawaita zilipendwa hawana jipya. Wapya wanalalamika eti Ukianzisha Uzi wakongwe wanaanza kuangalia umejiunga lini na kuanza kukubeza.
Sasa hapa tujue nani zaidi kati ya wakongwe na wapya.
Mkuu hawa wa 2016-2018 umewaitaje?????-Kwangu Members wakongwe nawachukulia waliojiunga 2006 mpaka 2007 hawa ndio wakongwe kweli.
-2008 mpaka 2009 hawa waliletwa na MVUMO wa ZeUTAMU.
-2010 Hawa waliletwa na MVUMO wa UCHAGUZI wa Dr Slaa.
2011-2014 Hapa waliletwa na mileage ya JF kuanza kukiki kitaani
-2015 hapa MAFURIKO yalisepa na KIJIJI kama CHOTE.
-2016 - 2018 HAWA NDIO WAPYA aka DR SHIKAZ aka NABII TITOZ TYPES
DEO KISANDUZ TYPES. πππππMkuu hawa wa 2016-2018 umewaitaje?????
ππππ