Uzi huu ni mpambano kati ya member wa zamani kujiunga humu dhidi ya waliojiunga hivi karibuni.
#Member Wakongwe wanasema hawa wapya hawana ni watupu kichwani,wanaleta mada za kitoto,hawahesimu waliowakuta na mambo kibao. Mbaya zaidi wanawaita eti walamba lips.
#Members Wapya nao wanawabeza wale wakongwe wanawaita zilipendwa hawana jipya. Wapya wanalalamika eti Ukianzisha Uzi wakongwe wanaanza kuangalia umejiunga lini na kuanza kukubeza.
Sasa hapa tujue nani zaidi kati ya wakongwe na wapya.
SawasawaMimi nawapenda wakongwe walikuwa wanajadili vitu vya maana zaidi kuliko sasa hivi mapenzi tu.
hoja ipi sasa'"?? unapaswa kusema",..upande ambao Una u supportNaunga hoja mkono
hahaa hata Mkopo unaweza kuziombeaMember wote wanamchango wao muhimu sana....Mimi naona wote wapo poa maana wachanga wanachangamshano group then wapo social kinoma noma.....
Alaf mada pia za member wachanga muda mwingine zinaondoa stress,presha,magonjwa ya ngozi, kansa,pamoja na kutibu magojwa ya ngono
Mkuu hii comments yako ya pili sasa" naona unaliongelea hili " huwenda ikawa kuna ukweli ndani yake"Huenda hao wapya ni zao la wakongwe", baadhi ya ID's ni watu walewale tu, wengine waliharibu wakaamua kuja kivingine, wengine walichoka zile identity zao wakaamua kubadili na wengine walisahau hata password zao wakabadili usernames.
member wa kongwe wananzia mwka Gani na member wapya wnaanaanzia mwaka upiUzi huu ni mpambano kati ya member wa zamani kujiunga humu dhidi ya waliojiunga hivi karibuni.