Nani Zaidi: Perfect Crispin v/s Kennedy the Remedy

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
images.jpeg
Kenedy

unnamed (1).jpg
Perfect

Tumalize ubishi hapa. Who is the best presenter.

Povu ruksa...ukila ban kalale.
 
wanaume wa daseralama we unamtaka yupi 🙄
 
Wana different swaggs! perfect ana experience Kubwa kwenye media in comparison to Kennedy,ken ameanza 2012 wakati perfect alianza miaka hiyo...Kennedy is the best..nimefanya NAE KAZI mahali..tunafahamiana..hiyo perfect ana nyota ya best naso..anaimba weee lakini hang'ai zaidi ya Ku brag Tu mtandaoni!
 
Hahaa... Mkuu una 'hate'!?
 
Kennedy yupo vzr bana nlianza kumfahamu kuna interview alikuwa anazifanya YouTube nadhani kipindi hicho alikuwa Arusha.
Baadaye ndo akaibukia Ea radio kwny pindi la the cruise wakiwa na george bantu.
 
Mi nadhani kati ya Kennedy na Perfect Mami baby ndo zaidi
 
Ujinga wao n kujichubua wote
Wanatumia mikorongo
 
Wana different swaggs! perfect ana experience Kubwa kwenye media in comparison to Kennedy,ken ameanza 2012 wakati perfect alianza miaka hiyo...Kennedy is the best..nimefanya NAE KAZI mahali..tunafahamiana..hiyo perfect ana nyota ya best naso..anaimba weee lakini hang'ai zaidi ya Ku brag Tu mtandaoni!
hahaha ...niwe mkweli tu "" Kennedy yuko vizuri mnooo" namuelewa kitambo sana " tangu alipokuwa east Africa radio na George Bantu kwenye kipindi cha cruzz""...... sasa pale east Africa kuna shida nyingine yule queen fify na king smash ....sio habari ya nchi hii""...
 
Kennedy yupo vzr bana nlianza kumfahamu kuna interview alikuwa anazifanya YouTube nadhani kipindi hicho alikuwa Arusha.
Baadaye ndo akaibukia Ea radio kwny pindi la the cruise wakiwa na george bantu.
Ilikuwa balaaa ...nilikuwa sikosi the cruzy Aiseee.. daaah kuondoka kwao kuliniuma mnoo"" but king smash na queen fify walikuja kuwapoteza ile mbaya...sema now days east Africa wameharibu mno kumtoa Queen fify " kwenye the cruz
 
Simply ni kennedy the remedy...kwa sababu kwanza ana lafudhi nzuri ambayo ni sifa ya mtangazaji na ndo maana amepewa nafasi kubwa kuliko perfect ambaye yupo hapo clouds kwa muda mrefu
 
Mkuu hivi ni clouds walimwita au yeye ndo alienda kuomba??..ukinifafanulia nitashukuru sana
Waliitwa wote Kwa mkupuo, Ken,Mamy George Na Seniorita baada ya kua frustrated Kwa muda mrefu Na mutu murefu Nasser kingu, any question??!
 
Back
Top Bottom