jamani eeh!
Tunasoma sana siasa,tunaudhiwa sana na mambo yanayofanywa na viongozi wetu,tunachangia kwa jazba kuu.sehemu kubwa ya michango yetu inasaidia kufungua akili za watu.na kuna wakati michango yetu huwa KELELE ZA CHURA,turelax kidogo wapendwa!
Muziki wa injili unakomaa siku hadi siku,na vipaji vipya vinaibuka kila inapoitwa siku.
Naomba tuwajadili wakongwe hawa wawili ambao wamefungua milango kwa waimbaji wengi wa muziki wa injili
PAMOJA NA LADHA YA MIZIKI YAO KUTOFAUTIANA,lakini kuna mtu kati ya hawa IS THE BEST?
..................TUJADILI
rose Muhando naona amekaa kimapepe mapepe sana + hao wachezaji wake nao ni hivyo hivyo tu,sijaona jipya kwake naona makelele tu
Nyimbo za Bukuku zina message nzuri sana,Just inshort namkubali Bahati Bukuku
Mie nampenda zaidi Rose, tena huo umapepe wake ndo unanichota kabisa. Labda na mie mwenyewe ni kati ya mapepes, sijui, ila naburudika sana. Najisikia kumtukuza Mungu kwa 'nguvu zangu zote'.Mhh jamani Bahati Bukuku namkubali sana,rose Muhando naona amekaa kimapepe mapepe sana + hao wachezaji wake nao ni hivyo hivyo tu,sijaona jipya kwake naona makelele tu,Nyimbo za Bukuku zina message nzuri sana,Just inshort namkubali Bahati Bukuku
- binafsi nina experience kubwa sana na muziki kwa sababu nimeushiriki sana katika course of my life, kuanzia kupiga mpaka kutayarisha maonyesho[/B][/U]
-Muziki ni entertainment kwanza regardless of the message, and then ni biashara[/B][/U]
-Mwanamuziki anayesifiwa sana majuu, ni yule anayeweza kuwajaza wazungu na minorities [/B][/U]
- Hapana Rose hana mpinzani ndani ya bongo, binafsi nina experience kubwa sana na muziki kwa sababu nimeushiriki sana katika course of my life, kuanzia kupiga mpaka kutayarisha maonyesho.
FMES!