Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?



Invisible unaweza kutuwekea price list ya matangazo hapa mkuu?..
 
- yaani Rose anayechukua zawadi za Tanzania Breweries, anaweza kuwa spiritual kuliko mimi ninayejaribu kuwapima kutokana na talents zao?

FMES.

Hapo umenena mkuu! so kiroho huyu zero?? ati?

Talents?? I agree with you, if you meant that,

Lakini sio kuwa unashindanisha talents tofauti, kile unachokipenda kutokana na utashi wako, na moyo wako, maana nyimbo zao ni tofauti kabisa Bahati(slow) Rose(fast) how can you cook them in one pot??
 

- Ninafahamu njia moja tu ya kupima talents za wanamuziki, nayo ni mapato wanayoingiza kutokana na muziki wao wanaopiga, na ndio maana nikasema hivi huwezi kuwaona hawa wakipiga bure nyimbo zao za dini kuwaona ni lazima ulipe sasa je wakilipwa wanaingiza ngapi kwangu ndio kitu cha msingi hapo, au? Maana Yesu wanayemuimba all the time hakumlipisha mtu kumuona, au kupata ujumbe wake, au?

FMES
 
Ofcourse huyu bibie naye si haba, kuna nyimbo zake kama Unikumbuke, tunakuabudu etc we acha tu.......ukizisikiliza unajihisi uko mitaa ya kwa Sir God vile.....yupo juu as well kwenye nyimbo za kuabudu!

Kwakweli- u have touched me! Huyu mwanamke is unique kwa sasa, wakina Upendo Nkone na Kilahiro wako vizuri lakini Shushu she is coming up very well! Just a top up to what u have said!
 
Last edited:


Ndugu yangu kuongezea uliyoyasema ambayo nakubaliana nayo - lazima watu watambue huduma mbalimbali ambazo Mungu ameweka katika kila mmoja wetu! Bukuku kwasehemu yake anafanya la kwake hasa nyimbo za kuabudu na kweli watu wanabarikiwa, anaweza kuwa na mapungufu ya kwake kama Rose pia lakini si wengine haya hayatuhusu maadam Mungu amewapaka mafuta kwaajili ya wakati huu kuimba na Mungu wetu awasaidie.

Let us be frank, hivi yule mkenya ama mganda anaye msikia Rose ama Bukuku kwa audio ama Dvd ana haja ya kujua udhaifu wake badala ya kufurahia huduma za hawa watu walizo beba, nafikiri wakati mwingine tunakosea sana we just need to cover their spiritual nakedness in prayers!

Kadhalika Rose, huyu dada anaongoza kwasasa kwanyimbo za uinjilisti kwa Tanzania na nashawishika kusema yamkini akawa Afrika mashariki anaongoza kwa waimbaji wa aina yake na kwa mafanikio amewazidi wengi. Ana umaarufu nje ya mipaka yetu hasa Kenya kuliko muimbaji yeyote kwasasa anaelekea kwa Chibalonza.

Otherwise, ningependa wandugu muelewe mpende ama msipende - kwa hali ilivyo huwezi kudharau hizi huduma na kutaka hawa watu waishi maisha duni na still wanamuimbia Mungu mwenye kilakitu! Wacha wapate ujira wao kulingana na huduma walizobeba, maadam injili inasonga mbele. Unaweza usibarikiwe wewe na mmoja wa hawa lakini i assure you people are blessed! You may judge them because of self righteousness as we count ourselves worthy than the other but at the end of the day they excell spiritually and we remain complaining and hence commiting sins!
Bless you all.
 
you could be right,cause the way anavyoimba na kucheza there could be grounds for this assumption

Rose Mhando anakipaji sana cha kuimba ila hatoi picha nzuri kwa jamii anapiga jani na anapepo la ngono! Bahati Bukuku naye ni mwimbaji mzuri wa Gospel ila kama kila mtu alivyo na mapungufu yake, yuko kwenye ART.
 
Anaitwa SHUSHO not Shushu!Acheni kuharibu majina ya watu!
 

Mkuu Masa......mmhhh!

Yaya maneno hapo juu unauhakika nayo ndugu yangu? Mimi sibishii wala si support kwasasa coz sina ushahidi wowote na sipo karibu na hawa watu!

ART ni nini tena Masa?
 

LOL, sina la zaidi inabidi nicheke , to be honest that is reality in arts!
 
LOL, sina la zaidi inabidi nicheke , to be honest that is reality in arts!

ndo deal zinazo lipa siku hizi dini na vishule vya international lete walimu toka Kenya au Uganda mbona utawakamata wazazi kibao tu wanakuletea watoto na wewe unapiga Milioni milioni ada.
 
Duuuh Mkuu Masanilo unamaanisha... ni.....ART

Antiretroviral drugs are medications for the treatment of infection by retroviruses, primarily HIV. When several such drugs, typically three or four, are taken in combination, the approach is known as highly active antiretroviral therapy, or HAART. The American National Institutes of Health and other organizations recommend offering antiretroviral treatment to all patients with AIDS. Because of the complexity of selecting and following a regimen, the severity of the side effects and the importance of compliance to prevent viral resistance, however, such organizations emphasize the importance of involving patients in therapy choices and recommend analyzing the risks and the potential benefits to patients without symptoms.
There are different classes of antiretroviral drugs that act at different stages of the HIV life cycle.

Kama ni hivyo duuuh........
 
Mimi kwa kweli ninakunwa na Rose Muhando. Kwanza, Rose Muhando anatunga na anatoa kitu kipya kabisa wakati Bahati Bukuku sijaona kipya kwake. Nyimbo zake zinaweza kutungwa na mtu yeyote yule. Pili nyimbo za Rose Muhando ni authoritative na zinagusa sana jamii. Nyimbo za Rose Muhando unaona kuwa hapa alifikiri na kama aliongozwa na roho ya Mungu kutunga na kupangilia. Hata hivyo, naona vyombo vya habari kuna wakati vilimwandama sana Rose Muhando. Wakati mwingine unaweza ukazushiwa mambo ya ajabu ajabu. Nibembeleze unibebe unipeleke kwa baba,
mwanamke usiwe mpumbavu kama yule..... KUWA KAMA ABIGAIL
JIPANGE SAWASAWA
MTEULE UWE MACHO, HIZI NI SIKU ZA MWISHO.....
 


huo wimbo jamani naupenda kupitiliza.
 

- Mkuu tupo pamoja hapo, hii Album haitakuja kuchuja ni kama ule wimbo wa "Mbongo Endima"(Hela zimeisha) wa Mayaula Mayoni, pamoaj na kwamba ulipigwa miaka karibu 15 iliyopita, lakini mpaka leo bado ni mpya tu.

FMES
 
Aisee hapa kwenye FM Academia umenigusa mwanawane...inabidi tuonge vizuri....hawa watu lazima watu tuingie ubia wakija USA!...Hii ni bonge la point ume-make!....


- Mkuu Kelly tuwasiliane kama uko serious na yoyote yule mwingine anakaribishwa hasa miji ya nje ya New York, maana nilishamwambia owner wa hiyo bendi kwamba New york hakuna wapenzi wengi maana wengi wa hko waliondoka siku nyingi bongo,ila wapo Boston, Dc, Atlanta, na Texas wachangamkaji huko tuwasiliane kwenye PM.

FMES!
 
- Mkuu tupo pamoja hapo, hii Album haitakuja kuchuja ni kama ule wimbo wa "Mbongo Endima"(Hela zimeisha) wa Mayaula Mayoni, pamoaj na kwamba ulipigwa miaka karibu 15 iliyopita, lakini mpaka leo bado ni mpya tu.

FMES

Kuna vibao yaani miaka nenda rudi havichuji kabisa watu mtaendelea kuselebuka tu mpaka wajukuu...
 
- Mkuu tupo pamoja hapo, hii Album haitakuja kuchuja

FMES


SIO KWELI KAKA!album yenyewe imeshachuja,sijui huko kwako.kwa sasa inapigwa maharusini tu
..NA KWENYE MA JUKE-BOX YA BAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…