Thread inauliza nani zaidi.......mie siangalii nyimbo zao maana zoote zafanana ujumbe ule ule mahadhi yale yale.....midundo ile ile....so uzaidi mwingine ndio huo.....bahati anavutia hasa kuliko rose.....Beautiful in what sense? tena umeweka na msisitizo wa swanglish kabisa!..
Wote wa vipaji vya kuimba na kuhubiri neno la Mungu kwa nyimbo zao ila ukipenda zaidi burudani ya kucheza wimbo, Rose Mhando kama albamu yake moja ya kitimtim basi zinachezeka vizuri sana.
Thread inauliza nani zaidi.......mie siangalii nyimbo zao maana zoote zafanana ujumbe ule ule mahadhi yale yale.....midundo ile ile....so uzaidi mwingine ndio huo.....bahati anavutia hasa kuliko rose.....
Thread inauliza nani zaidi.......mie siangalii nyimbo zao maana zoote zafanana ujumbe ule ule mahadhi yale yale.....midundo ile ile....so uzaidi mwingine ndio huo.....bahati anavutia hasa kuliko rose.....
Shem Bahati Bukuku ni mkali kuliko Rose Mhando, anapiga mapigo ya reggae na you well composed kama ulivyoainisha.....Kuna ule wimbo Dhahabu something mmmhh balaaa
ebu jamani sikilizeni ule wimbo wa ESTER.utagundua huyu dada 'ni special'
Umenikumbusha nyimbo nyingine za Bahati Bukuku,SONGA MBELE na MAJARIBU yaani nazikubali sana hizi nyimbo,huyu dada ana kipaji na pia ana kipawa amepewa na Mungu
KIPAJI - mtu anazaliwa nacho
KIPAWA- MTU HUPEWA NA MUNGU,sasa unapochanganya hivyo vyote + maombi lazima utatoa nyimbo ambazo zinakua na message nzuri sana.