Kumekuwa na mijadala mingi sana humu MMU kuhusu kuvunjika kwa ndoa,wapenzi kuachana,kusalitiwa na kusaliti,kupigwa kibuti na yote haya ni matokeo ya mahusiano ya watu wa aina mbili tofauti yaani MWANANAMKE na MWANAUME leo nataka nijue ratio ya nani anaongoza kwa kusababisha mahusiano yafike mwisho.Tukianza na mimi mi naona kwa hapa Tz wanaume ndio source kubwa kufanya mahusiano yafike mwisho.Asilimia za usababishi nazoweza kutoa ni 70%wanaume na 30% kwa wanawake.je wewe unaonaje?
hahaha...unajua mie naweza ichukulia hivi; wanawake wengi sana wanapenda kumfanya mwanaume afanyie kazi K kwa kumzungusha zungusha na basi mambo kibao...so inafika wakati sasa mwanaume ata ile kum-like gal kunaanza potea na jamaa sasa anataka ampate amle na kusepa kama vile kumkomoa..so hapo mwanamke anasababisha.
lengine ni kwamba wanawake ukiwaambia ukweli kuwa tuwe na mahusiano ya kupeana UTAMU wanasema eti umewadharau hivyo kumfanya mwanaume adanganye kuwa anakupenda kumbe anakutamani tuu
Kweli kabisa, mtu akiambiwa ukweli anaona kama ameshushwaaaa kumbe ni heri uambiwe ukweli lakin ujue where u a heading. Lakin pia mwaweza muanze kama kupeana utamu alafu on the way mkaweza afikiana na kila mmoja kumuona mwenzake kuwa anamfaa kwa maisha ya ndoa.
yeah bora wewe umeliona hilo...ningependa kuuliza kwa jinsi navyojua mie pamoja na kuwa na mahusiano ya kupeana utamu inatokea kuwa mmoja ananogewa na kutaka sumthing serious...sasa hapo unashauri nini ili ku-avoid hilo kujitokeza?
Swala la msingi ni kustik kwenye makubaliano, kama mlikubaliana kuwa ishu ni kupeana raha ni vyema kila mmoja aheshimu, ikitokea akanogewa na kufikiri uwezekano wa future sasa hapo inabidi mkae kama kamati na muelezane. kama mwenzako nae ataafiki na kuona unafaa kwa matumizi ya nyumbani powa tu hamna kweri, ila kama mwenzako atakuwa hajakolea na hvo anaamua kustik kwenye utamu hapo hapana lawama na ni vyema makubaliano yaheshimiwe.
Nishakuwa na mahusiano ambayo makubaliano yalikuwa kupeana utamu ila mwenzangu bdae aliona kama kuna uwezekano tukamilishe mambo ili kuwa na future but mimi sikupenda future iwepo kwa mahusiano yale kwani kuna baadhi ya mambo sikuyapenda kwa yule mwenzangu, so muda ulipofika basi ilibidi nimweleze tu kwamba inatosha na aangalie ustaarabu wake na mie niangalie wangu. Inawezekana kabisaaa kuishi kwa makubaliano kama kila mmoja wetu atayaheshimu
duh!! wee dada kweli una msimamo wa ukweli na niseme u are open minded. so wewe naona utakuwa ulishakubaliana na hali halisi kuwa men will always go taste nje lol. sasa je ulikuwa wapata utamu kwa huyo tuu ama kulikuwa na wengine?
Makubaliano yetu ilikuwa ni kuwa waaminifu hadi kila mmoja wetu atakapopata anayeona anamfaa kwa maisha ya mbeleni basi awe muwazi na tutawanyike.....!! but mie nlipoona siwez kuwa naye kimaisha hata pamoja na kupropose nkaona tunazibiana rizki so ikabidi yaishie hapo japo yeye alilaumu na kuona kama sikumthamini