Nani zaidi??

Joyce ofcourse si unaona anavyoshake wat her mama gave her?busy body eeeeh!
 
Sasa hivi siwezi sema...ila tusubiri, atakayechoka basi mwenzie ndio atakuwa zaidi!
 
Napenda Uafrika...
Kwanza mwafrika(Inkoskaz) ukimwangalia anacheza kwa order fulani, unlike mzungu(joyce) anaecheza kwa kujirusharusha bila utaratibu wowote...Mzungu hata akiingia Disco hutofurahia uchezaji wake...
 
Wacheze kwa zamu nimeshindwa kuwachek wote kwa pamoja!!!
Hata hivyo hakuna mkali coz wote wana style 1 basi!!!
 
Joyce ana kiuno kigumu kwa mwanamke kakosa kura yangu.
 
joyce - Bootylicious

inkoskaz-
4 pack

mmmhh wote wanani tamanisha..
 
wakapimane wawil ukoooooooooo then walte majibu apa nan zaid
 
huyo kwanza nampa kura ya ndio ila apumzike offside kha
 
Inkoskaz..............mashalahhhhhhhhh.................LOL 😛layball:
 
Inkoskaz bwana,Joyce kiuno kigumu sana inabidi afanye mazoezi kweli maana aibu!!!
 
Iskoaz na Joyce.....kuna kitu wanafurahia, maana ukiangalia wote wako karibu na kitanda..... Woooo Woooo!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…