Nani zaidi!!!

Mshiiri

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
2,012
Reaction score
512
Katika kuwa kwa extra curicullar activities baada ya kazi na uchovu mwingi nilikuwa naangalia cable-TV na nilipata kuwaona Beyonce Knowles and Alicia Keys. Swali ni Je kati ya hawa wawili nani ni mzuri kwa sura umbo na tabia zaidi kuliko mwingine? Nisaidieni Jibu tafadhali.
 
beyonce!!!!!!!!!!!
uzuri
umbo
tabia...

as tabia nilishawahi sikia alicia keys ni anasaga na kukoboa!!!while mwenziwe kaolewa na mwanaume
 
The beauty is in the eyes of beholder!!
 
I will vote for alicia
katulia
 
Hiki kitu kikali jigga mwenyewe kanasa pale

Hii kitu ndio imezaliwakuvaa jeans.....ana ngozi inang'ara vilivyo
 
Nani zaidi sasa je?
 
As per skin deep beauty:Alicia Keys...hayo ya tabia hadi niishi nao...ha ha haaaa
 
kila mmoja ana uzuri wake kiasi cha kwamba ukimpata yoyote kati yao ujapata hasara.
 
Wote wawili ni megekable....
na wewe umeanza kuandika kingereza kigumu kama brulay aka......

shori huyu mkali ana vigezo vyangu.....lakini....

mres carter kafunika ona booty hilo kudadadeki.....hii kitu kajitengezea mwenyewe au?

guu guu walahi.....
 
Mama Carter is very megekable....ila tatizo unaweza kukuta shori mkali hivyo lakini mashine mbofu
 
Mama Carter is very megekable....ila tatizo unaweza kukuta shori mkali hivyo lakini mashine mbofu
hio megekable maana yake nini?
tehe tehe nilitaka kusema mwanzoni......lakini inaweza kuwa nzuri unajua mrs carter anapiga sana tizi so inajikamua na kujitengeza kuwa nzuri....
 
hio megekable maana yake nini?
tehe tehe nilitaka kusema mwanzoni......lakini inaweza kuwa nzuri unajua mrs carter anapiga sana tizi so inajikamua na kujitengeza kuwa nzuri....

Megekable maana yake anafaa sana kumegwa...inatokana na neno 'mega'
 
Beyonce is elegant but Alicia has natural beauty. Beyonce without makeup is plain vanilla. Alicia even without makeup will still catch your eye.
 
Beyonce is elegant but Alicia has natural beauty. Beyonce without makeup is plain vanilla. Alicia even without makeup will still catch your eye.

Umeshazeeka wewe....aaaaah....tuachie sisi vijana haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…