Nanua Matairi ya magari

Nanua Matairi ya magari

LuisMkinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
3,255
Reaction score
6,252
Habari wanajamvi la biashara. Mimi na ndugu zangu tumeamua kujikwamua kiuchumi tunatengeneza viatu vya matairi( slippers) sasa Ugumu ni kupata hiyo matairi Mabovu ya magari (Matairi makubwa).. kwa yeyeto mwenye yard au anayefahamiana na Yard zenye malori mengi. ani PM tufanye biashara.
 
Marie stopes kuna bid ya matairi chakavu njoo jumatatu uone u bid on my behalf 0767180565 call me.
 
Back
Top Bottom