nanukia kama ndo nmefunguliwa kwnye box...!!!!

nanukia kama ndo nmefunguliwa kwnye box...!!!!

Minkya

Member
Joined
Nov 12, 2012
Posts
29
Reaction score
5
wadau habari zenu,

mi ndo nmeingia rasmi JF yaan nanukia ule uturi wa kiarabu, kama ndo nmefunguliwa kwenye box.

Hope will enjoy the JF xperience. Me welcome sana!!!!
 
Asanteni sana wadau, ila bado feature nyingi za JF sijaweza kuzitumia but mdo mdo... I believe nami ntakua mkali tu with time.
 
Back
Top Bottom