KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
Ndugu zanguni wana JF
Kwa yeyote mwenye biashara ya mbao na anaiuza, mimi nanunua biashara hiyo na kuiendeleza, naomba nieleweke kwa wana JF kuwa sihitajimbao bali nahitaji biashara hiyo niinunue. Biashara ya mbao ya ukubwa wowote iwe mtu binafsi hadi kampuni. Ikiwa ipo maeneo ya Dar itapewa umuhimu zaidi. Kwa yeyote anayeuza biashara hiyo ani pm please