KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
Wana JF
Kwa yeyote anayemiliki au kuendesha biashara ya mbao hasa mbao laini na anatarajia kuiuza naomba awasiliane na mimi. Biashara hiyo iwe maeneo ya jiji la Dar es alaam. Kwa mawasiliano zaidi nitumie ujumbe binafsi (PM).
Ahsanteni