K KIJANA2013 JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 466 Reaction score 201 Mar 7, 2015 #1 Wana JF Kwa yeyote anayemiliki au kuendesha biashara ya mbao hasa mbao laini na anatarajia kuiuza naomba awasiliane na mimi. Biashara hiyo iwe maeneo ya jiji la Dar es alaam. Kwa mawasiliano zaidi nitumie ujumbe binafsi (PM). Ahsanteni
Wana JF Kwa yeyote anayemiliki au kuendesha biashara ya mbao hasa mbao laini na anatarajia kuiuza naomba awasiliane na mimi. Biashara hiyo iwe maeneo ya jiji la Dar es alaam. Kwa mawasiliano zaidi nitumie ujumbe binafsi (PM). Ahsanteni