jT0078 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 444 Reaction score 346 Apr 17, 2025 #1 Lete Laptop MBOVU nikupe pesa Bei maelewano 0767953873
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Apr 28, 2025 #2 Mkuu unaweza kuwa na power cord used? Laptop yangu nzima lakini power cord imekufa. Nilikwenda Kariakoo lakini naona niliyopata ina moto mkubwa laptop inapata moto sana. Labda fan zimekufa au nahitaji adapter. Aaaaargh!
Mkuu unaweza kuwa na power cord used? Laptop yangu nzima lakini power cord imekufa. Nilikwenda Kariakoo lakini naona niliyopata ina moto mkubwa laptop inapata moto sana. Labda fan zimekufa au nahitaji adapter. Aaaaargh!