Nanunua mafla za gari ndogo

Nanunua mafla za gari ndogo

shibo

Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Nanunua mafla za gari ndogo, kwa ambao hawazijui, mafla zinakaa kwenye bomba linalotoa moshi wa gari ziko kama kamtungi kadogo ndani zina ungaunga.nazinunua kati ya Tsh.30,000-50,000,kwa kila moja. tafadhali kama unazo wasiliana na mimi kwa namba 0713251003 muda wowote haraka iwezekanavyo. mfano upo kwenye picha iliyoambatana na ujumbe huu download picha.kifaa chenyewe kinaonyeshwa na mshale.kifaa hiki upatikana sana kwa mafundi gereji.
 

Attachments

  • exhaust.jpg
    exhaust.jpg
    33 KB · Views: 141
Back
Top Bottom