Nanunua mafuta yaliyotumika

Nanunua mafuta yaliyotumika

Mtu Poa 2013

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
105
Reaction score
65
Nanunua mafuta ya kupikia ambayo yameshakaangiwa vitu, mfano chips nk sana sana kama uko Kibaha itakuwa vizuri zaidi. Lita nanunua kwa sh. 500.
 
Kwa udadisi, unayafanyia nini ukishayanunua Mkuu
 
mkuu nipe namba yako basi kuna sehem huwa yanamwagwa kila siku kama lita 40 hivi Mtu Poa 2013
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom