LBC CONSULTANT
Member
- May 22, 2024
- 42
- 11
Una mawazo mazuri,ila ukifanikiwa,chonde chonde ,usikopeshe watu kwa kutumia hati za nyumba!Kama unauza au unajua mtu anauza Microfinance yenye vibali vyote tafadhali wasiliana nasi kupitia 0765042935
Mkuu naomba niunganishe na huyo mtu tafadhaliNinafahamu mtu alisajili akaamia kwenye biashara nyingine. Ntamfowafia.
Nilimtafuta boss, nikamfowadia link ya tangazo na namba zako whatsapp na alisoma.Mkuu naomba niunganishe na huyo mtu tafadhali