Nanunua ngozi mbichi za Mbuzi au Kondoo zilizotunzwa kwa kupakwa chumvi (Wet Salted) kuanzia ngozi 10,000 na kuendelea tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0659890000 au uni-PM. Ngozi zisiwe na mikato (Cuts), mashimo (Holes) au kuharibika (Red Heat/Over stay). Asanteni.
Ni kweli mkuu. Nimejaribu kuongea na hao watu wapunguze hiyo minimum yao wamekataa. Kwani wanahitaji ngozi nyingi sana. Nikaona ngoja liilete kwa wanajamii huenda kuna mtu anaweza kufanikisha hilo.
Kwa kavu wanatoa bei mbaya sana, haifai kabisa. Ila nimeongea nao tena, wamesema kwa Dar es Salaam wanaweza kuchukua 5,000 lakini kwa mikoani inatakiwa ziwe 10,000 au zaidi kwani chini ya hapo usafiri utawakata.
wananunua kwa bei gani ???Nanunua ngozi mbichi za Mbuzi au Kondoo zilizotunzwa kwa kupakwa chumvi (Wet Salted) kuanzia ngozi 10,000 na kuendelea tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0659890000 au uni-PM. Ngozi zisiwe na mikato (Cuts), mashimo (Holes) au kuharibika (Red Heat/Over stay). Asanteni.
Fufua tu kaka labda tutapata deal la kukuuzia ngozi
[emoji23][emoji23][emoji23]Fufua tu kaka labda tutapata deal la kukuuzia ngozi
hivi ukiwaunaenda machinjioni uwezi pata kama pugu vile na mchinjie mengine huko dar.mngekua arusha tungejua jinsi ya kuzipataNanunua ngozi mbichi za Mbuzi au Kondoo zilizotunzwa kwa kupakwa chumvi (Wet Salted) kuanzia ngozi 10,000 na kuendelea tafadhali tuwasiliane kwa simu namba 0659890000 au uni-PM. Ngozi zisiwe na mikato (Cuts), mashimo (Holes) au kuharibika (Red Heat/Over stay). Asanteni.