Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nani mwingine ana zoea kama la kwangu la kununua nguo kila unapoletewa na mtembezaji. Nikikaa home naona nimejaza sana nguo hata ambazo sizivai masanduku Kwa makabati Mpaka chumba kinageuka kero kinanuka nguo(mitumba hasa +dukani).

Kila nikitaka kuzigawa nashindwa nianzie wapi ama nimpe nani na hata kama nikimpa mhitaji siku moja moja awe mnywaji mwenzangu au mzoa taka basi nitaishia kumchagulia dosho kadhaa moja au mbili na sio nguo kali ya fashion zile nzuri zinazoita ingawa sizivai hata mwaka mzima.

Kugawa imekuwa ni kama nataka, sitaki maana kuna kipindi unachafua nguo zote zile code za kwendA ila bado unakuwa na mzigo wa akiba still unatoka nazo Safi kwenye mishe.

Sasa cha ajabu najua Nina nguo kibao ila bado Nikikaa bar au kitaa ikaletwa nguo naiona kazi nzuri hii lazima nilipe hela.

Hii sijui tunaita ulafi, uchoyo au roho mbaya au ubinafsi Kwa maana akili Kiukweli inataman jambo moja niwe na nguo chache ila nzuri na mambo yataenda tu fresh mfano form six zako kali 5,jeans na cardet 10 kali, t shirt 5, boxer 10 kali.

Inakuwa imeisha Sasa Mara makanzu kibao, makoti kibao, ma suruali ya mwaka juzi, mashati ya 2021. Chumba kinatia Mpaka uvivu kupumzika Kwa utuli.
 
Nani mwingine ana zoea kama la kwangu la kununua nguo kila unapoletewa na mtembezaji. Nikikaa home naona nimejaza sana nguo hata ambazo sizivai masanduku Kwa makabati Mpaka chumba kinageuka kero kinanuka nguo(mitumba hasa +dukani).

Kila nikitaka kuzigawa nashindwa nianzie wapi ama nimpe nani na hata kama nikimpa mhitaji siku moja moja awe mnywaji mwenzangu au mzoa taka basi nitaishia kumchagulia dosho kadhaa moja au mbili na sio nguo kali ya fashion zile nzuri zinazoita ingawa sizivai hata mwaka mzima.

Kugawa imekuwa ni kama nataka, sitaki maana kuna kipindi unachafua nguo zote zile code za kwendA ila bado unakuwa na mzigo wa akiba still unatoka nazo Safi kwenye mishe.

Sasa cha ajabu najua Nina nguo kibao ila bado Nikikaa bar au kitaa ikaletwa nguo naiona kazi nzuri hii lazima nilipe hela. Hii sijui tunaita ulafi, uchoyo au roho mbaya au ubinafsi Kwa maana akili Kiukweli inataman jambo moja niwe na nguo chache ila nzuri na mambo yataenda tu fresh mfano form six zako kali 5,jeans na cardet 10 kali, t shirt 5, boxer 10 kali. Inakuwa imeisha Sasa Mara makanzu kibao, makoti kibao, ma suruali ya mwaka juzi, mashati ya 2021.chumba kinatia Mpaka uvivu kupumzika Kwa utuli.
Mkuu ni kweli kweli na sio kweri kweri.
 
Official cardet 3
Jeans tufanye 5
Boxer 10 mbona standard kabisa hata socks zikiwa 10 hata leso zikiwa 10 bado sio mbaya haviuzwi bei kubwa
Boxer 5 kadet+Jeans+Kitambaa 10
Anjifu 2 tishet + Mashat 10
Viatu 3 soksi 3 sendo + malapa labda kuogea na mitoko ya jiran 3 asee vingine vya nin poch 1 na cm kubwa + ndogo 2

Sa ukute umejaza manguo ya mwaka juz huko ni kujilimbikizia ,mali na huzikwi nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeans 2
Kadeti 2
Suruali kitambaa 2
Kaptura 2
Suti 2
Shati za mikono mirefu 2
Shati la mikono mifupi 2
Flana 2
Tsheti 2
Boxer 7
Kofia 2
Mikanda 2
Raba pair 2
Viatu vya ofisini pair 2
Viatu vya kawaida pair 2
Sendo pair 1
Miwani pair 2
Jacketi pair 1
Sweta pair 1
Saa ya mkononi 2
Cheni 2
Suruali ya mazoezi 1
Pensi ya mazoezi 1
Flana ya mazoezi 2
Viatu ya mazoezi 2
Soksi za kazini au Kanisani pair 5
Soksi za mazoezi pair 2
Kanzu pair 2 rangi tofauti
 
Jeans 2
Kadeti 2
Suruali kitambaa 2
Kaptura 2
Suti 2
Shati za mikono mirefu 2
Shati la mikono mifupi 2
Flana 2
Tsheti 2
Boxer 7
Kofia 2
Mikanda 2
Raba pair 2
Viatu vya ofisini pair 2
Viatu vya kawaida pair 2
Sendo pair 1
Miwani pair 2
Jacketi pair 1
Sweta pair 1
Saa ya mkononi 2
Cheni 2
Suruali ya mazoezi 1
Pensi ya mazoezi 1
Flana ya mazoezi 2
Viatu ya mazoezi 2
Soksi za kazini au Kanisani pair 5
Soksi za mazoezi pair 2
Kanzu pair 2 rangi tofauti
Ningefurahi kama kila mwanaume kwenye huu uzi angepanga kwa mtiririko huu kama wewe.
Ila ndo hawawezi.
 
Boxer 5 kadet+Jeans+Kitambaa 10
Anjifu 2 tishet + Mashat 10
Viatu 3 soksi 3 sendo + malapa labda kuogea na mitoko ya jiran 3 asee vingine vya nin poch 1 na cm kubwa + ndogo 2

Sa ukute umejaza manguo ya mwaka juz huko ni kujilimbikizia ,mali na huzikwi nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio nyingi hizo?
 
Jeans 2
Kadeti 2
Suruali kitambaa 2
Kaptura 2
Suti 2
Shati za mikono mirefu 2
Shati la mikono mifupi 2
Flana 2
Tsheti 2
Boxer 7
Kofia 2
Mikanda 2
Raba pair 2
Viatu vya ofisini pair 2
Viatu vya kawaida pair 2
Sendo pair 1
Miwani pair 2
Jacketi pair 1
Sweta pair 1
Saa ya mkononi 2
Cheni 2
Suruali ya mazoezi 1
Pensi ya mazoezi 1
Flana ya mazoezi 2
Viatu ya mazoezi 2
Soksi za kazini au Kanisani pair 5
Soksi za mazoezi pair 2
Kanzu pair 2 rangi tofauti
Dadeq,
Sasa hapo si million ishaisha,
 
Jeans 2
Kadeti 2
Suruali kitambaa 2
Kaptura 2
Suti 2
Shati za mikono mirefu 2
Shati la mikono mifupi 2
Flana 2
Tsheti 2
Boxer 7
Kofia 2
Mikanda 2
Raba pair 2
Viatu vya ofisini pair 2
Viatu vya kawaida pair 2
Sendo pair 1
Miwani pair 2
Jacketi pair 1
Sweta pair 1
Saa ya mkononi 2
Cheni 2
Suruali ya mazoezi 1
Pensi ya mazoezi 1
Flana ya mazoezi 2
Viatu ya mazoezi 2
Soksi za kazini au Kanisani pair 5
Soksi za mazoezi pair 2
Kanzu pair 2 rangi tofauti
mshamba_hachekwi Poor Brain Shadow7 Half american nyie list yenu inasemaje humo mavyumbani mwenu?
 
Always nachezeaga hapa
Kadet 7
Tishet 30
Jeans 10
Saa 3
Boxer 10
Shati 10
Singlend 6
Suruali kitambaa 7
Sandles 5
Raba 7
Moka 5
Suti 3
Pafyum na body spray 5
Mafuta/lotion
JAcket 3
Hizo ndo aina ya nguo na idadi ya vitu utavyokuta kabatini kwang always
 
Back
Top Bottom